Logo
Medium 79befa9c6f7b71c23f23a841a0c8574f7446ef37

Tetea Mazingira Swahili Podcast

MAKASI MAHAMBA Daniel Jasiri Levergénois
Tetea Mazingira, ni podcast Kuhusu usimamizi wa maliasili. Tetea Mazingira ina andaliwa na mupasha habari Daniel Makasi kutoka mujini Goma, Inchini DRC. Lengo ya Tetea Mazingira ni kuletea watu habari kamili kuhusu maliasili na kushirikisha wataalamu kwa mazungumuzo. #TeteaMazingira
1 résultats